Kinara wa magori katika timu ya taifa Mrisho halfan Ngasa ambaye ana magori 25 katika timu ya taifa(taifa stars).
amesema anatamani kupewa thamani ya kustaafu soka la kimataifa kutokana na makubwa aliyoyafanya akiwa na timu ya taifa stars ikiwemo kuagwa kwa heshima.
Kustaafu mana yake kuacha kazi ukitokea kazini. Sasa yeye anastaafu nini wakati alishaacha kuitwa Stars miaka mingi iliyopita? Heshima haiombwi, huja yenyewe ikiwa kuna haja. Nani alimtuma akajifiche wakati El Mereikh wamefika Dar kumpa mkataba mnono?