Kwa hivyo tofauti inayopaswa kulipwa ni milioni kumi za riba tu, maana bila ya shaka milioni 30 alizochukua Simba zilimfika, hata kama alikwishazitumia, hata kama si kwa matumizi ya busara.Alichukuwa Simba sh. 30 mil ili kuichezea Simba badala yake akaikacha na kwenda kusaini Yanga ambayo inaichezea hadi sasa na kufunga mabao 2 dhidi ya Mtibwa juzi na kuifanya Yanga kuongoza ligi. hivyo akapigwa na riba ya sh. 10 milioni na kusababisha deni kuwa sh. 40 milioni. Sijui kashalipa kiasi gani hadi sasa. Kama kuna deni lingine anayelifahamu atatujuza hapa.
ishakua tabu yaani kutupia tugoli tuwili tu...hadi anapata coverage kwa media, na huyu msemaji wa Yanga ana akili kweli?
Labda kenyewe kalifikri kamewaliza Yanga au Benki!!Duh mengine ya kujitakia aisee, Kwa hiyo yeye mwaka mzima hajakatwa ameuchuna tu!!
Aliachwa namkewe nahisi akumaliziamaharinaomba kujuzwa huyu dogo ana deni gani linamzonga?
Huyu Ngasa aachwe, hakuna cha kumsaidia wala nini. Wapuuzi kama hawa ni kuwaacha mpaka walie machozi ya damu. Alipata dili zuri El-merreikh ya Sudan USD 4.5ml as a monthly salary, kakadengua, kakazima simu eti ili kacheze Yanga kisa mapenzi kwa timu kakakubali 2ml monthly salary. Sasa hivi eti kanajuta.
Mwacheni avune alichopanda ili iwe ifundisho kwa tz young players wajao!!!
Kwavyovyote vile wewe una dalili zote kuwa ni mshabiki wa Simba, kaa pembeni bana, subiri kushuka daraja pale OKWI atakapoanza vitimbi vyake. Maana akili za wana-simba wote ziko kwa OKWI na se-lukuma.
Huyu Ngasa aachwe, hakuna cha kumsaidia wala nini. Wapuuzi kama hawa ni kuwaacha mpaka walie machozi ya damu. Alipata dili zuri El-merreikh ya Sudan USD 4.5ml as a monthly salary, kakadengua, kakazima simu eti ili kacheze Yanga kisa mapenzi kwa timu kakakubali 2ml monthly salary. Sasa hivi eti kanajuta.
Mwacheni avune alichopanda ili iwe ifundisho kwa tz young players wajao!!!
Hizo hela kama kijiji chenu kina familia 100 unaweza ukaamua kila familia ijenge boma la vyumba vitatu na sebule na wewe ukamalizia kupaua na finishing zingine.Huo mshahara mkuu sidhani hata Messi kama anaupata kwa mwezi!! Ni hela kubwa mkuu! El-Merreikh hawana hela ya kumwaga kiasi hicho!!
Umeona mkuu eeeeh? Tujamaa twingine huwa tunakurupuka tu bila kutafakari, eti $4.5million kwa mwezi! Labda dola ya Zimbabwe nilikuwa sijamwelewa?Hizo hela kama kijiji chenu kina familia 100 unaweza ukaamua kila familia ijenge boma la vyumba vitatu na sebule na wewe ukamalizia kupaua na finishing zingine.
penye ukweli tuzungumze, haka ka mtu kanakumbuka shuka kumekucha, eti mkataba wangu ukiisha jangwani sintosaini ntatafuta timu nje ya nchi.
Jangwani mnaongoza kwakuwa na players mandondocha, hawajielewi, hawana focus!!!