Na ndio lengo mkuuKama akisaini! Litakuwa jambo la kheri sana! Angalau apunguze pengo la Msuva
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana nin cha ku'offer!?
Nakusalimia tu mimi hongereni jamaan kwa kumrudisha ngasa jamaan yaan yanga nyie hivi mna niniiHehehehe
Ndiyo: kule Okwi huku Ngassa, patamu hapo.Kama akisaini! Litakuwa jambo la kheri sana! Angalau apunguze pengo la Msuva
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo sina ushahidi wa moja kwa moja lakini ushahidi wa kimazingira unaonesha kuwa yupo nchini kibiashara zaidi ili kuona kama anaweza kupata 'kitu chochote' ndani ya masaa haya machache kabla ya dirisha la usajili kufungwa.Tumegee kidogo siri kuhusu uwepo wa Banda hapa nchini.
Aliondoka kwa mbwembwe nyingi hakuaga kistaarabuTumegee kidogo siri kuhusu uwepo wa Banda hapa nchini.