Mrisho Ngassa si mchezaji wa Yanga!

Mrisho Ngassa si mchezaji wa Yanga!

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,677
Kuanzia tarehe 20 Aprili 2015, Mrisho Ngassa si mchezaji wa Yanga tena, baada ya kumaliza mkataba wake.

*Lakini yawezekana akamaliza msimu na Yanga kwa mujibu wa kanuni...
 
Haya Simba msajirini basi....kwi kwi kwi au mmesahau alichowafanya.
 
Kuanzia tarehe 20 Aprili 2015, Mrisho Ngassa si mchezaji wa Yanga tena, baada ya kumaliza mkataba wake.

*Lakini yawezekana akamaliza msimu na Yanga kwa mujibu wa kanuni...
Kwahiyo ndo unasemaje wewe Bint Zubeiry!!!
Umeona kule kwenye blog yako hakuna wadau umeamua kuhamia na huku?!!!
 
Kuanzia tarehe 20 Aprili 2015, Mrisho Ngassa si mchezaji wa Yanga tena, baada ya kumaliza mkataba wake.

*Lakini yawezekana akamaliza msimu na Yanga kwa mujibu wa kanuni...

kawaambie akina anspopo wamsajili basi..
 
Back
Top Bottom