Kwahiyo ndo unasemaje wewe Bint Zubeiry!!!Kuanzia tarehe 20 Aprili 2015, Mrisho Ngassa si mchezaji wa Yanga tena, baada ya kumaliza mkataba wake.
*Lakini yawezekana akamaliza msimu na Yanga kwa mujibu wa kanuni...
Kuanzia tarehe 20 Aprili 2015, Mrisho Ngassa si mchezaji wa Yanga tena, baada ya kumaliza mkataba wake.
*Lakini yawezekana akamaliza msimu na Yanga kwa mujibu wa kanuni...