Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli cijafanunua! Iko hivi Katika process za mirathi mahakamani kuna form zinajazwa na kila mrithi anatakiwa kutoa picha4 so katika warithi wa4 ,mmoja kagoma kutoa picha na hoja yake HATAKI tu basi hana reazon nyingine na ameapa mahakamani na hana shida wala pingamizi na msimamizi wa mirathi so utaratibu ukoje hapo...cz kila kitu kimesimama ni mwezi sasa hivi...Picha ya nini, na ina mahusiano nini na mrithi...kama kagoma kutoa picha kuna athari gani maana yeye ndio mrithi...TIRIRIKA MKUU WADAU WATOE MCHANGO