Ni kweli cijafanunua! Iko hivi Katika process za mirathi mahakamani kuna form zinajazwa na kila mrithi anatakiwa kutoa picha4 so katika warithi wa4 ,mmoja kagoma kutoa picha na hoja yake HATAKI tu basi hana reazon nyingine na ameapa mahakamani na hana shida wala pingamizi na msimamizi wa mirathi so utaratibu ukoje hapo...cz kila kitu kimesimama ni mwezi sasa hivi...