Nelson Masaduki
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 346
- 380
Wanabodi,
Kuna 'tetesi' kuwa, baada ya mahamaka leo kumrejesha rumande Freeman Mbowe, tayari kuwa mikakati imeanza kufanywa kutafuta mrithi wa Mbowe, ambaye kwa kiwango kikubwa amelenga kushughulikia masuala ya masurufu ya Chama cha Chadema. Nadhani Mbowe ana nguvu sana katika Chadema hivyo kutokuwepo kwake kunaweza kuyumbisha chama kwa kiwango kikubwa.
Pamoja na kwamba wanaweza kukata rufaa, watabiri wanaona kuwa rufaa yake inaweza kutupwa endapo wakili Peter Kibatala hatawasilisha vielelezo vyenye mashiko kuchallenge maamuzi ya mahakama ya chini kuhusu dhamana ya Mbowe na Matiko.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema.
Nelson,
Dodoma.