Tetesi: Mrithi wa Freeman Mbowe aanza kuandaliwa

Mkuya ndo nani sasa?
 
Mbowe kiboko ya CCM......

Chama cha mboga mboga wamefanya fitna zote Mbowe aondoke kwenye uenyekiti ikashindikana, wakampeleka mahakamani wanaona chuma kipo tu, sasa wamekuja na kiroja kinachoitwa mswada wa sheria ya vyama vya siasa 2018, yoote ni kumtafuta mtu mmoja tu anayewanyima usingizi, Mbowe. Sasa wanakuja na maagizo kwa mahakama wamfunge tu hata kama hana hatia. Yaani ni sawa na watu wanamuwinda simba msituni wanafeli, na baada ya jitihada zao kugonga mwamba wanaamua kuuchoma msitu kusudi wakose wote. Huu ndio ukomo wa jiwe et al wa kufikiri....
 
umeambiwa mbowe ana njaa kiasi hicho?
hana shida na magari ya serikali ana vitega uchumi ndani na nje ya nchi
 
Aisee una akili nyingi sana eti yaani mbowe kakaijenga chama kwa kukikopesha fedha zake binafsi akose gari LA kutembelea kweli au unamfanaisha na yule balozi wa Sweden aliyeolewa na kaisike ka pale nshambya muleba
namshangaa anadhani mbowe ana njaa njaa MTU ana mkwanja mrefu hata kabla hajaingia kwenye siasa
 
Nelson huyo Mbowe akinyimwa dhamana anaenda kufa adi mrithi wake aandaliwe?
 
namshangaa anadhani mbowe ana njaa njaa MTU ana mkwanja mrefu hata kabla hajaingia kwenye siasa
Ni kweli Mbowe hana njaa kila mtu anajua lakini amekua ni mtu anayeyumbisha nchi kwa maslahi yake binafsi.
Mbowe hayupo kwa ajili ya maslahi ya watanzania wote wa makabila 125 .
Na Mbowe hajawahi kuwapigania watanzania ndio maana amekua siku zote ni mjanja wa kufanya matukio ya kijanja kijanja kupitia migongo ya watu maarufu waliopo ndani ya Chama hicho.

Watu walifikiri kuwa ni Chama cha Siasa kwa ajili ya watanzania lakini Mbowe ameionyesha sura halisi ya Chadema kuwa ni Chama chake binafsi kwa malengo yake binafsi .
 

Safari ijayo atakuchukua wewe ukale bata ila sharti umzalie mtoto wa kiume.
 

Machoko sana hawa mboga mboga.
 

Huyu Mbowe kwani alikutia mimba kisha akakutolea nje,mbona povu sana juu yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…