Mrithi wa Kapombe apatikana

Kama Simba sc tulikua tunasubiri kupata mrithi wa Kapombe Basi niseme kwamba mrithi ameshapatikana kikubwa aombewe dua avuke salama kwenye safari yake ya soka.

Mwenda[emoji123]
Kama limerithi garasha hata maombi yanadunda🤪
 
Kama Simba sc tulikua tunasubiri kupata mrithi wa Kapombe Basi niseme kwamba mrithi ameshapatikana kikubwa aombewe dua avuke salama kwenye safari yake ya soka.

Mwenda[emoji123]
Mwenda jana kapiga namba 3, pengine unamaanisha mrithi wa Mohamed Zimbwe Tshabalala? Maana Kapombe hucheza Namba 2 na alikuwapo
 
all in all tumlinde sana asipigwe misumali ili aendelee vizur.
 
Kama Simba sc tulikua tunasubiri kupata mrithi wa Kapombe Basi niseme kwamba mrithi ameshapatikana kikubwa aombewe dua avuke salama kwenye safari yake ya soka.

Mwenda[emoji123]

Mwenda yuko hivyo hajawahi shuka kiwango, Mwenda alikuwa anaitwa stars hata kabla ya kuja simba. Mpira anaujua na kipindi cha mgunda alipendelea kumpanga kuliko kapombe. Ni mapenzi ya kocha tu kumpanga au kutompanga ila Mwenda ni mchezaji wa hali ya juu kwa ligi ya Tanzania
 
Hafai huyo dogo.Yuko slow na anachelewa kutoa maamuzi
 
Kama Simba sc tulikua tunasubiri kupata mrithi wa Kapombe Basi niseme kwamba mrithi ameshapatikana kikubwa aombewe dua avuke salama kwenye safari yake ya soka.

Mwenda[emoji123]
mwenda mtoto wa mwanza baba yake ni osoro
 
Kapombe ni beki wa kulia yaani namba mbili na jana alicheza tshabalala ni beki wa kushoto yaani namba tatu na ndio mwenda alicheza namba yake jana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…