Mrithi wa Manji Yanga huyu hapa, aahidi kuendesha timu kisasa , kumwaga computer matawi yote , Simba kukiona .

uyu mzee ana helaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Huyu mzee anaitegemea Yanga kuishi. Siamini kuwa anaweza kuchangia hata kununua pair 12 za socks kwa wachezaji angalau msimu mmoja achilia mbali misimu miwili mfulululizo.
Apewe nafasi kwanza , asibezwe .
 
Yeye mwenyewe anajua kutumia kompyuta kabla hajazisambaza kwenye matawi?

Hatuwezi kujua, dunia imejaa maajabu, anaweza kuwa na mikakati ya kuigeuza Yanga ikawa timu bora kabisa.
 
Apewe nafasi kwanza , asibezwe .

Kila mgogoro uliowahi kutokea Yanga tangu nikiwa mdogo kati ya majina ya wahusika jina lake huwa halikosekani. Same na Dalali kwa Simba (sijui huyo mzee yupo hai!?!)

Alikuwa wapi siku zote asifanye anayoyaahidi leo? Anaganga njaa tu huyo.
 
Hahahahahajajqjqjwjqjqjwjwjhahahqhqhqhwhqhahahahahahahahahahqh nimecheka hatari
 
Hana hata thumni
 
Dalali yupo hai! Yupo busy na 50 zake
Kila mgogoro uliowahi kutokea Yanga tangu nikiwa mdogo kati ya majina ya wahusika jina lake huwa halikosekani. Same na Dalali kwa Simba (sijui huyo mzee yupo hai!?!)

Alikuwa wapi siku zote asifanye anayoyaahidi leo? Anaganga njaa tu huyo.
 
Kila mgogoro unapotekea yanga...moja ya waanzalishi haumkosi. Kosa kubwa yanga watakalo kuja kujutia ni kumpa huyu nafasi ya mwenyekit
Mkuu huyu mzee hapati hata uokota mipira... Kwanza ameonesha kuanza kugombea nafasi mapema kwa kumpinga wazi Manji.... Amalee vijana nyumbani... Tunguli hazibambi kwenye kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…