Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Mbona hiki ni kioja,
Kimsingi Tumepoteza Mweleko hapa Jf,kwa kipindi cha miezi miwili tumekuwa wazungumaji wa hoja dhaifu sana na kama tukiendelea hivi...watu watatupuuza,Meghji kabla ya kuwa waziri ilipewa Ubunge na hii ipo kisheria..sasa tatizo liko wapi?
Mrope anasema hatuwezi kuwa na mawaziri wa kuokota mitaani (wabunge wa kuteuliwa). kwa msimamo wakle yeye mbunge kamili ni yule anayetokana na kupigiwa kura. Samahani kama sikumwelewa vema mheshimiwa sana Mrope
Mpita Njia angu lini akaelewa mambo yanayosemwa ndani,Kimsingi haukumuelewa Mbunge alichosema,watu wamechukua uhalisia tu kwa ushabiki wao,na kwa yale aliyoyasema Mrpe bila kumuuliza kama likuwa akimaanisha isivyo kama anavyohisi MK

Jamaa anawakilisha jimbo gani? Inabidi tuanze kumwandaa mwana JF kwenda kuchukua hilo jimbo.
Hivi mbunge kama huyu anachaguliwa kwa hoja au kwa rushwa?
Jamaa anawakilisha jimbo gani? Inabidi tuanze kumwandaa mwana JF kwenda kuchukua hilo jimbo.
Hivi mbunge kama huyu anachaguliwa kwa hoja au kwa rushwa?
Nimeona EMAIL yake. Nafikiri kuna haja watu kama hawa tunawaandikia kama JAMIIFORUM. Email yake ni rmrope@parliament.go.tz Hii ipo kwenye site hii http://www.afdevinfo.com/htmlreports/peo/peo_2867.html
Hivi ana elimu gani huyu Mrope? wakati mwingine tusilaumu sana wanachosema hawa wabunge bila kungalia elimu na uwezo wao wa kufikiri, tunafahamu jinsii walivyoshinda kwenye chaguzi zao, kiwango cha elimu nafikiri ni kuanzia kidato cha nne (sikumbuki vizuri), sasa according to Mrope tuwe na waziri wa fedha mwenye elimu ya kidato cha nne? OMG. We need prayers!!
Mbona hiki ni kioja,
Kimsingi Tumepoteza Mweleko hapa Jf,kwa kipindi cha miezi miwili tumekuwa wazungumaji wa hoja dhaifu sana na kama tukiendelea hivi...watu watatupuuza,Meghji kabla ya kuwa waziri ilipewa Ubunge na hii ipo kisheria..sasa tatizo liko wapi?
Huyu ashawahi kuwa mpaka katibu mkuu wizara ya afya(hapo chini) na akaondolewa kwa kashfa, kielimu ni university graduate. Viongozi wengi wa CCM unafiki na kujali sana maslahi ya chama na binafsi kuliko watu wao waliowachagua kunawaponza mpaka saa nyingine wanaongea kama walevi. Mbona marekani mawaziri wote si wabunge, na unaona jinsi kunapokuwa na swala tata serikalini bunge linakuwa huru kuiwajibisha serikali.....nadhani argument ya wapinzani ni kutaka kuwa na independence between the legislature and the executive government, sasa CCM wanakurupuka bila kufikiri kwa kina ni nini wenzao wameongea.
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Ministry of Health Permanent Secretary 1995 1998
TAMISEMI - Dar es Salaam Region Regional Development Director(RDD) 1994 1995
Chunya District District Development Director(DDD) 1992 1994
Ministry of Foreign Affairs - Holland Deputy Ambassador of Tanzania in Holland 1985 1991
Ministry of Natural Resources & Tourism - TAFICO Chairman and Managing Director 1978 1984
Prime Minister's Office - Lindi Region Regional Development Director(RDD) 1975 1977
Prime Minister's Office - Dodoma Region District Development Director(DDD) 1972 1975
Ministry of Natural Resources & Tourism Fisheries Officer 1968 1971