N Nyamalapa JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 211 Reaction score 469 Dec 20, 2023 #1 Nauza Subwoofer aina ya mrUk UK21T23 kwa Tshs 140,000 Subwoofer hii nimeitumia kwa muda wa miezi mitatu tu hivyo bado ina upya wake na haina tatizo la aina yoyote na boksi lake pia lipo Mziki ni mkubwa na hauumizi masikio na inafaa hata kwa sherehe ndogo ndogo za nyumbani. Napatikana Mbezi Louis Piga namba 0764368588 tufanye biashara na ujipatie kilicho bora.
Nauza Subwoofer aina ya mrUk UK21T23 kwa Tshs 140,000 Subwoofer hii nimeitumia kwa muda wa miezi mitatu tu hivyo bado ina upya wake na haina tatizo la aina yoyote na boksi lake pia lipo Mziki ni mkubwa na hauumizi masikio na inafaa hata kwa sherehe ndogo ndogo za nyumbani. Napatikana Mbezi Louis Piga namba 0764368588 tufanye biashara na ujipatie kilicho bora.