Simple
SDLC procedures ni za muhimu kufuata ukiwa ukiwa unataka develop au kuchange system yako.
Umesema system yako inatumiwa na libraian
kuisert vitabu.
- Je hii tu ndo function ya system yako. au ina data pia za loan, members, nk.
- what is approximated maximum size ya kila info ya kitabu kimoja una table/entity ngapi?
- Je current size ya system ni MB ngapi kwa sasa? na %ge ya growth ni ngapi kwa mwezi 1ja au miezi mitatu? OR current system ina rekodi ngapi? Kwa wiki au mwezi mnaingiza rekodi ngapi mpya?
- Ni kweli Ms acesss ina size limitation je unajua size limitation yake? Hope umefanya home wark yako.
Usiwe worried wakati uwezo wa statistics za mahitaji ya system yako unazo. Unaweza kukuta kwa %ya growth ya system yako labda itafikia limit capacity mwaka 2015.
Maswali haya ukiyapatia jibu utapata jibu
if and when u need to migrate/ upgrade . Hiyo ni moja ya issue au problem zako .That was about
database growth
Issue/Problem nyingine naona unaongelea
concurrent acesss kwa watumiaji sijui approximated maximum number ya concurrent user kwa system yako inaweza kuwa ngapi?
.
System yako iko katika
Client/server archteture na iko katika
two-tiers. Hope one of
powerful PC inaweza kuwa server na client hapo hapo . Watumiji wengine kwenye desktop zao watakuwa na hiyo VB interface inayowaunganisha kwenye server. SQL inayo tool inatwa
Client network utility itakusaidia kwa hilo.
Lakini uki
google utaona hata Ms Acess ina wezo kuhimili 10 concurrent ODBC user connections.
Vile Vile jiulize maswali na upate majibu ya maswali mengi iwezekanavyo kabla ya kuhama. Nin mana Database analytical questions.
- Kuna watumiaji zaidi ya Mmoja wenye PC tofauti wanatakiwa kutumia system hiyo? Je ni wangapi?
Je watumiaji hao watafanyaza kazi za aia moja au kila moja ana aceess right zake?
- Je system yako ya mwanzo ina Authentication za kutofautisha watumiji sababu concurrent database acces inaadamana na issue nyingine. Kama.Lost updates, na nyingine . Just google( Database concurrent problem) uone vitu vya msingi kivujua ukiwa una desing database inayotakkiwa kuhandle concurrent user . Hili ni jambo la muhimu sana
Je ipo LAN? is it wired LAN au Wireless LAN
Sijawaii fanya migration ya database from acesss to SQL . But najua kumigrate
data za acess kwenda kwenye SQL ni kazi rahisi kuna tool za kuexport na kuimpot data kwenye SQL kuna mjumbe kaitaja inaitwa DTS(
Data
Trasnformation
Services)
Ambacho sijui wataaalamu wanaweza kutusaidia ni kutupa elimu ni kumigrate
Database structure ya acees kwenda SQL serverambayo nadhani ukifikia uamuzi wa kumigrate kama si kuupgrade unaweza kutumia
SQL server express 2005 Edition ambayo ni
free
Eliah thanks for your
assignment imenifanya imenifanya nipekue pekoe mambo niliyokuwwa nayajua zamani lakini sijayafanyia kazi kwa muda mrefu na hivyo kuyasahau kabisa