MS Excel Invoice Template

MS Excel Invoice Template

MwanaHaki

R I P
Joined
Oct 17, 2006
Posts
2,401
Reaction score
707
Waungwana

Nina shida ya kupata Microsoft Excel template ambayo ina uwezo wa kuweka bei za bidhaa kwenye worksheet nyingine na kwenye worksheet nyingine, mtu ukiweka code name ya bidhaa fulani, na idadi yake (kutokana na order ya mteja), bei inajumlishwa moja kwa moja.

Je, wapi naweza kupata template hii?

Asanteni.

-> Mwana wa Haki

P.S. Mwenye kuweza kunisadia anitumie ujumbe PM ili niweze kuwasiliana naye moja kwa moja.
 
Unatumia Version gani ya Ms office? Kuna version ya office nadhani 2003 ilikuwa ina templetaes za mambo mengi. Lakini version baada ya 2003 inabidi uzifuate templete kwenye website ya microsoft.

Tembelea link hii Invoices - Templates - Microsoft Office
unawezza kudownload template kama proforma invoice, auto invoive update, basic invoive, invoice auto calculation , etc.

Otherwise always make google your best friend.
 
unatumia version gani ya ms office? Kuna version ya office nadhani 2003 ilikuwa ina templetaes za mambo mengi. Lakini version baada ya 2003 inabidi uzifuate templete kwenye website ya microsoft.

tembelea link hii invoices - templates - microsoft office
unawezza kudownload template kama proforma invoice, auto invoive update, basic invoive, invoice auto calculation , etc.

Otherwise always make google your best friend.

Thanks Mkulu. Stay blessed
 
Back
Top Bottom