MS-TCDC Arusha

MS-TCDC Arusha

vanilla

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
448
Reaction score
357
Hello members,

Naomba yeyote mwenye info kuhusu hiki chuo kilichopo Arusha mitaa ya Denish. Nimeona website yao wanatoa short courses but tuition fee yao ipo juu sana. Je kuna mtu mwenye taarifa zozote kuhusu chuo hiki kitaaluma? Is it worth it kulipa ada kubwa namna hiyo kwa short course ama itakuwa hailipi? Vipi kuhusu vyeti vyao vinatambulika internationaly?

Ningependa kufahamu zaidi tafadhali. Ahsante
 
Ms TCDC ni chuo ila ni cha wa denish ndo maana umeona gharama zao ni kubwa ila ndio hizo short courses wanatoa na ni nzuri sana ukipata gamba lao pale u rock,
 
Back
Top Bottom