Hello members,
Naomba yeyote mwenye info kuhusu hiki chuo kilichopo Arusha mitaa ya Denish. Nimeona website yao wanatoa short courses but tuition fee yao ipo juu sana. Je kuna mtu mwenye taarifa zozote kuhusu chuo hiki kitaaluma? Is it worth it kulipa ada kubwa namna hiyo kwa short course ama itakuwa hailipi? Vipi kuhusu vyeti vyao vinatambulika internationaly?
Ningependa kufahamu zaidi tafadhali. Ahsante