Wakuu na wataalamu wa kutengeneza simu naomba msaada wenu.
Kuna ndugu yangu aliletewa simu aina ya Sam sung ch@t 3222 toka nje ya Tanzania(Nchi za Asia)...simu hizo hazikamati mitandao ya Tanzania hasa VODACOM.
Alijaribu kuzipeleka kwa Mafundi pale mtaa wa Uhuru zaidi ya mara moja lakini naona tatizo bado liko pale pale.
Wakuu kama kuna fundi unamjua kuwa ni mzuri wa kuziweka sawa hizo simu naomba nisaidiwe mahala ofisi zake zilipo na number zake za simu kama inawezekana.