Visa card au master, kama Unayo hio unaweza kujiunga na paypal, katika paypal utahitajika kuingiza au register your bank details account, au unaweza kuhamisha salio lako kutoka kwenye account to paypal moja kwa moja.
Inahitajika kuufahamu huo mtandao wa paypal.
Jengine kabla hujafanya malipo kwa bidhaa Unayo lipia, soma description ya post kama wanatuma international.