naomba nitoe dukuduku kidogo, unaonekana hauko makini na mambo yako sijui ndio haraka au vp, kimantiki ulitakiwa ueleze angalau kidogo unachotaka kusaidiwa maana hapo hueleweki pia umekosea vitu basics kama spelling, ikiwa kama cv pia uandishi ni huu basi nunua rim na printer coz utatuma sana bila kuitwa...nafanya assumption kuwa unataka address ya recruitment agent..ingia radarrecruitment.com ni mojawapo, maelezo utayapata huko...physical addres sio muhimu sana upload cv online, ila nasikia wapo barclays house sina hakika na hili..