JUNK MASTER
Member
- Aug 14, 2012
- 84
- 18
thanks brokwa ninavyojua st joseph wao mwaka wakwanza wote bila kujal ni mtu wa civil,computer eng,tel wote wanasoma kitu kimoja kinaitwa general engineering kama sikosei..sasa hapa ni ngum kwenda field maana bado huja specialize kwenye program yako..kwa wao mwaka wa pili ndo wanaenda fiel labda na wa3...ila mkuu hongera sana na lazima ujivunie kuchaguliwa st joseph,ni sehem nzuri....