kimpango
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 600
- 717
wajuvi wa sheria naomba msaada katika hili naomba cases au maamuzi ya mahakama za juu zinazoelezea kuhusu Kamishna wa viapo(commissioner for oaths) kuweka jina lake kwenye jurat katika affidavit
na pia if sehemu yenye maneno haya ni part of the jurat of attestation
BEFORE ME
NAMES................
SIGNATURE..............
adrress ...............
qualifications..................
Asanten
na pia if sehemu yenye maneno haya ni part of the jurat of attestation
BEFORE ME
NAMES................
SIGNATURE..............
adrress ...............
qualifications..................
Asanten
Last edited: