colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
habar zenu wakuu
Kuna kijana katoka kijijin kaja kwangu kwa lengo nimtaftie kazi ila kwa haraka haraka vyuma vimekaza mno so nikaona ni bora nimuwekee hata ki biashara tu kidogo ili ajishughulishe nacho na anaonekana ana muamko flani hivi wakutafta hela
nimekuja kwenu naomba msaada wamaelezo ni jinsi gani naweza kuanza biashara ya sigara kuanzia zile ambazo zitanilipa fasta yaani zinazopendwa sna hapa bongo
Pili ni mtaji ambao naweza kuanza ni kiasi gani
Tatu Mm nipo nimeona sehem ambayo ina mzunguko wa watu na ambayo nipo na ukaribu nyo ni buguruni so nimepanga aanze na meza tu na mwevuli wa tigo sasa naomba kujuzwa hii mienvyul ya tgo inapatikanaje ?
Na mwisho kuna taratibu gani kuenda sehem ukaanza kuweka meza na mwemvuli na kuanza biashara au just unaenda nakuweka tu
Naomba msaada wenu wakuu wakujuzwa haya
Ahsanteniiii