mtoto wa mjomba
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 526
- 753
Asante mkuu, sjui kam zipo ndan ndan ila nmeona hazipo aiseeMmh! Pole sana mkuu, au zitakuwa zimejichimbia ndani ndani huko?? [emoji848]
Sawa mkuuPeleka mtoto hospital mkuu.
Umeona kuanzia asububi mpaka jioni??Habari za majukumu wakuu!
Ndugu yenu na changamoto Hapa,
Kwa mara ya kwanza jan nimegundua mtoto wangu wa kiume wa miaka minne hana korodani yani pale kwenye mfuko wake hapana kitu, nmevurugwa sana ndugu zangu, kwa yoyote aliewah skia au kukutana na changamoto hii je naweza pata utatuzi dogo akawa sawa? au hosptal ipi niende ntasaidiwa?
Samahan kwa uandishi mbaya!
Nahitaji msaada!