Msaaada tafadhali

Msaaada tafadhali

ray2807

Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Kutokwa na ute kwenye uume wakati umechuchumaa au wakati wa kujisaidia haja kubwa ni dalili za ugonjwa wa ngono?
 
Ushaur wa kitaalam
Kutokwa na ute kwenye uume unaweza kua ni dalili za ugonjwa wa zinaa. Kanla ya yote
1)huo ute ukoje, ni usaa??
2)je unapata maumivu wakat wa kukojoa??

Kama majibu ni ndio, bas ni dalili za ugonjwa unaitwa gonorrhea
Inabid umuone daktar ukiwa pamoja na mwenzi wako ili nae achunguzwe na ikiwezekana muanze matibabu wote co kama ukotibiwa ww tu kuna chance kubwa ya kujirudia
 
Kutokwa na ute kwenye uume wakati umechuchumaa au wakati wa kujisaidia haja kubwa ni dalili za ugonjwa wa ngono?
kama kutokw ana ute mweupe kwa ajili ya kujisaidia haja kubwa sio dalili ya amradhi kwani huw auantumia nguvu kutoa haja kubwa. Kama ute unatoka na huku unajisikia maumivu sehemu zako za siri nend akamuone dakatari.
 
Back
Top Bottom