Ushaur wa kitaalam
Kutokwa na ute kwenye uume unaweza kua ni dalili za ugonjwa wa zinaa. Kanla ya yote
1)huo ute ukoje, ni usaa??
2)je unapata maumivu wakat wa kukojoa??
Kama majibu ni ndio, bas ni dalili za ugonjwa unaitwa gonorrhea
Inabid umuone daktar ukiwa pamoja na mwenzi wako ili nae achunguzwe na ikiwezekana muanze matibabu wote co kama ukotibiwa ww tu kuna chance kubwa ya kujirudia