Msaaada wenu waungwana katika hili!

Keki ya kumshukuru???? wanaume wetu w ibongo wengi hawajazoez mambo kama hayo na zawadi ndio kabisaaaa hivo nenda nae taratibu huku ukimwambia hupendi nini na unapenda nini mwisho kama anakupenda atabadilika

Hapo kwenye keki ya kumshukuru, labda angempelekea bia, anywe mpaka atambae, halafu kuanzia hapo ndo amshauri kuwa bia si bora kwa afya yake.
 
Hapo kwenye keki ya kumshukuru, labda angempelekea bia, anywe mpaka atambae, halafu kuanzia hapo ndo amshauri kuwa bia si bora kwa afya yake.
Tehetehetehe hili nalo neno safina
 
mwambie achapa lapa,hakuna mzigo mzito kama kuwa na husband alcoholic........leo na kesho una watoto wanahitaji kuwa na baba ambaye ni role model,na anayetimiza wajibu wake kama baba.....walevi wengi hawajali familia zao na mara nyingi zinaishia kuwa duni,huo ni mzigo mwambie akimbie tena fasta!
 
Maana ya kumpenda mtu ni kumkubali kama alivyo,kuanza kujaji tabia zake ni kuonesha upendo wako ulivyo wa masharti
 
Maana ya kumpenda mtu ni kumkubali kama alivyo,kuanza kujaji tabia zake ni kuonesha upendo wako ulivyo wa masharti
 
Maana ya kumpenda mtu ni kumkubali kama alivyo,kuanza kujaji tabia zake ni kuonesha upendo wako ulivyo wa masharti
 
Hapo kwenye keki ya kumshukuru, labda angempelekea bia, anywe mpaka atambae, halafu kuanzia hapo ndo amshauri kuwa bia si bora kwa afya yake.

Si kuwa bibie anamkataza kunywa bia but in daiy bases hapo ndipo kesi ilipo ikiwa weekend sawa na Getogether sawa no tattizo
 
Kwani hapo ndoa tayari? Mwambie akili kichwani mwake!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Maana ya kumpenda mtu ni kumkubali kama alivyo,kuanza kujaji tabia zake ni kuonesha upendo wako ulivyo wa masharti
 
Susy we Susy mbona unakuwa mkali hivo?
 
Maana ya kumpenda mtu ni kumkubali kama alivyo,kuanza kujaji tabia zake ni kuonesha upendo wako ulivyo wa masharti
 
Maana ya kumpenda mtu ni kumkubali kama alivyo,kuanza kujaji tabia zake ni kuonesha upendo wako ulivyo wa masharti

Mimi I beg to differ, Loving someone does not mean we should turn a blind eye and/or ignore our patner's obvious problems.

Wakuchakachua:
Kuhusu your friend, it all boils down to whether or not she can tolerate and/or accept huo ulevi in the long run. If not then amuache!
I cant stress how big of a mistake will it be , if she so choose to just hang around hoping to change him........wishful thinking like that
mara nyingi never ever come to fruition!!!.
 
Nilikuwa sijui kumbe enzi hizi za dot.com ukipenda msichana pasi na hima anakutandika na keki? maendeleo kweli haya,sisi miaka hiyo alikuwa anakuletea barua,ukifungua bahasha unakutana na kaharufu ka poda ('ambi' enzi hizo),kisha barua inaanza;
Ewe wangu wa moyo,niko juu ya mlima kilimanjaro nakuchungulia moyo wako,miguu yangu imekufa ganzi,mapigo ya moyo yamesimama kwa kukuwaza wewe,niambie tunda la moyo,nifanye nini ujue nakupenda,ninywe sumu? nikanyage moto? nikumbatie kifutu? nifanyeje mpenzi ujue nakupenda? niko razi kwa yote,hata kama ni kuacha shule niko razi,hata kama ni kutoroka nyumbani niko razi..............sasa ole wako ukamatwe na hiyo barua,we!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…