msaaadaa wenu jamani..

msaaadaa wenu jamani..

Said Seif

Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na kupata 4 ya 26 art kutokana na maisha yangu naomba mnishaur nisomee kitu gani ambacho kitakua na ajira baada tu ya kusoma na si kukaa nyumban....#maisha yetu nshaur#
 
Nimemaliza kidato cha nne
mwaka jana na kupata 4 ya 26 art kutokana na maisha yangu naomba
mnishaur nisomee kitu gani ambacho kitakua na ajira baada tu ya kusoma
na si kukaa
nyumban....#maisha
yetu nshaur#

nakushauri nenda kasome chuo cha ualimu maana div 4 ya 26 unapokelewa bila utata, na ukimaliza moja kwa moja kazini.
 
Nenda katafute vyuo vya afya hasa vya serikali,kwa mfano kile cha Maweni Kigoma.Naamini unaweza kupata chance ya kusoma hata certificate pale kwa point zako.
 
Nenda katafute vyuo vya afya hasa vya serikali,kwa mfano kile cha Maweni Kigoma.Naamini unaweza kupata chance ya kusoma hata certificate pale kwa point zako.

C amexma amesoma arts vyuo vya afya havimfai myb aende teaching college...
 
Nenda katafute vyuo vya afya hasa vya serikali,kwa mfano kile cha Maweni Kigoma.Naamini unaweza kupata chance ya kusoma hata certificate pale kwa point zako.

We mbona kilaza, sasa kuna udaktari gani wa sanaa?
 
kwenye baada tu ya kusoma
mmh ni ngumu maana hata ajira za ualimu zinachelewa. Si mnakumbuka walishawahi kuandamana wizarani
 
Back
Top Bottom