Kama kwenye kwapa au kwenye mapaja unatumia aluminium based antiperspirants(deodorants) soma ingredients za vitu unavyotumia sehem hizo,then hayo ndio matokeo.haziwez kutoka kwa kusugua.ukiona kuna aluminium ni pm nitakusaidia lakim kama hazina aluminium hilo tatizo sijui.hatushauriwa kutumia deodorants zenye aluminium jaribu kutumia isiyo kuwa nazo.
chukua baking soda yani sodium bicarbonate mix with lemon or water thn jipake after 15 min unaifuta, inaondoa harufu na weusi pia
Muone dactari wa ngozi kabla ya kutumia dawa yoyote kwa sababu kuna watu wana melanin nyingi kwenye makwapa na mapajani yaani zile sehemu ambazo huwa hazikutani na mwanga wa jua na hivyo kuzifanya kuwa nyeusi kuliko sehemu zingine. Hivyo usije ukatumia dawa kumbe sababu ni hiyo.
Heshima yenu wakuu nasumbuliwa na kukerwa sana na hili jambo nimkuwa nikipata na weusi kwenye makwapa na katikati ya mapja kitu hiki kinaninyima raha. najisugua sana napooga lakini hakuna mabadiliko.kuna mtualinishauri kutumia dawa lakini sikupenda kwakuwa ni kemiko naomba kama kunadawa za kawaida zisizo na kemikali
hapana inayotumika kuumua unga ni baking powder , but some people wanatumia hii pia, ila baking soda is the best. huwa inatumika kuivisha maharage nadhani.. kipimo cha makisio tu mfano kijiko kimoja cha chakula
jaribu alafu ulete ushuhuda ili na mimi nitumieAsante Nilkarish unaweza nipa vipimo kiasigani nichanganye. baking soda ni ileinayo tumiwa kwenye kuumua unga wangano sio
Kutumia deodorants haimaanishi wewe lazima uwe una harufu mbaya ya kwapa,deodotants inaweza kutumika kutengeneza harufu nzuri ya kwapa yaani liwe linanukia,na hii concept wanayo watu wengi sana wanafikiri hata watu wanao paka Perfumes ni watu wenye harufu mbaya,hii sio kweli kabisa ni kuwa wengi wanapenda kunukia manukato mazuri na sio kwamba wana harufu mbaya.Mkuu mimi situmii deoddorants sina haru ya kwapa
jaribu alafu ulete ushuhuda ili na mimi nitumie
Kutumia deodorants haimaanishi wewe lazima uwe una harufu mbaya ya kwapa,deodotants inaweza kutumika kutengeneza harufu nzuri ya kwapa yaani liwe linanukia,na hii concept wanayo watu wengi sana wanafikiri hata watu wanao paka Perfumes ni watu wenye harufu mbaya,hii sio kweli kabisa ni kuwa wengi wanapenda kunukia manukato mazuri na sio kwamba wana harufu mbaya.
hapana inayotumika kuumua unga ni baking powder , but some people wanatumia hii pia, ila baking soda is the best. huwa inatumika kuivisha maharage nadhani.. kipimo cha makisio tu mfano kijiko kimoja cha chakula
Asante Nilkarish unaweza nipa vipimo kiasigani nichanganye. baking soda ni ileinayo tumiwa kwenye kuumua unga wangano sio