Msaad wa haraka kuhusu hili tatizo

Z kama Z

Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
60
Reaction score
10
Jamini habari za asubuhi,
Naomba kwa yule ajuaye kuhusu hili tatizo la mama mkwe wangu nikono inamuuma inakuwa na uchungu kama vile kaumwa na inge au mdudu mwenye sumu halafu vilevile huwa inatetemeka sana anashindwa hata beba kitu kidogo , so nlitaka kumsaidia kama kuna wataalamu wanajua hili tatizo mnijuze ili nijue pa kuanzia kumsaidia mama mkwe


Asanteni sana,:confused3:
 
umejaribu kwenda hospital......?
 
Nenda kwa mzee wa upako,pale ni mwisho wa matatizo yote.
 
umejaribu kwenda hospital......?

Bado sijaenda kiukweli ila nilitaka nipitie humu kwanza niwe na aidea ya ya huu ugonjwa kwa wanaoufahamu zen ntamcheki dokta hamna tatizo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…