Msaada: 2zz GE engine spare zinahitaji haraka

Msaada: 2zz GE engine spare zinahitaji haraka

adsense master

Senior Member
Joined
Mar 12, 2019
Posts
107
Reaction score
175
Habari za muda huu wakuu,aisee jana gari yangu ilichemsha so nmefanya overhall,shida inakuja kweny spare zake nmetafuta mbeya nzima nmeambulia kimoja tu(ring piston).

Nahitaji vifutavyo
Ring piston
Water pump
T/chain
Thermostat
T washer
Overhall gasket
Main and con bearing.

Kama una connection na sehem wanauza msaada maana niko safari.

Gari: TOYOTA VOLTZ
 
Habari za muda huu wakuu,aisee jana gari yangu ilichemsha so nmefanya overhall,shida inakuja kweny spare zake nmetafuta mbeya nzima nmeambulia kimoja tu(ring piston)
Nahitaji vfutavyo
Ring piston
Water pump
T/chain
Thermostat
T washer
Overhall gasket
Main and con bearing
Kama una connection na sehem wanauza msaada maana nko safari
Gari:TOYOTA VOLTZ
Kununua engine ingine used ingekuwa rahisi kuliko hiko unachofanya maanake hata gari inaweza isiwe nzuri tena!
 
Kununua engine ingine used ingekuwa rahisi kuliko hiko unachofanya maanake hata gari inaweza isiwe nzuri tena!
Fundi akiwa mzuri overall ni bora zaidi, gari inarudi na nguvu ya awali na vifaa atakavyoweza vikiwa bora anaweza kaa hata 4 yrs kazi yake ni kubadili oil tu
 
Fundi akiwa mzuri overall ni bora zaidi, gari inarudi na nguvu ya awali na vifaa atakavyoweza vikiwa bora anaweza kaa hata 4 yrs kazi yake ni kubadili oil tu
Ndio mpk awe nzuri Sasa.
 
Habari za muda huu wakuu,aisee jana gari yangu ilichemsha so nmefanya overhall,shida inakuja kweny spare zake nmetafuta mbeya nzima nmeambulia kimoja tu(ring piston)
Nahitaji vfutavyo
Ring piston
Water pump
T/chain
Thermostat
T washer
Overhall gasket
Main and con bearing
Kama una connection na sehem wanauza msaada maana nko safari
Gari:TOYOTA VOLTZ

Umepatwa na nini mpaka vitu vyote hivyo vinaharibika at once?
 
Hapo ingekuwa NISSAN, mleta mada angekoma kwa negative Reply ambazo angepata. Ila kwasababu ni TOYOTA gari ya Taifa, anaishiwa kupewa pole na ushauri positive.
 
Back
Top Bottom