adsense master
Senior Member
- Mar 12, 2019
- 107
- 175
Kununua engine ingine used ingekuwa rahisi kuliko hiko unachofanya maanake hata gari inaweza isiwe nzuri tena!Habari za muda huu wakuu,aisee jana gari yangu ilichemsha so nmefanya overhall,shida inakuja kweny spare zake nmetafuta mbeya nzima nmeambulia kimoja tu(ring piston)
Nahitaji vfutavyo
Ring piston
Water pump
T/chain
Thermostat
T washer
Overhall gasket
Main and con bearing
Kama una connection na sehem wanauza msaada maana nko safari
Gari:TOYOTA VOLTZ
Kununua engine ingine used ingekuwa rahisi kuliko hiko unachofanya maanake hata gari inaweza isiwe nzuri tena!
Fundi akiwa mzuri overall ni bora zaidi, gari inarudi na nguvu ya awali na vifaa atakavyoweza vikiwa bora anaweza kaa hata 4 yrs kazi yake ni kubadili oil tuKununua engine ingine used ingekuwa rahisi kuliko hiko unachofanya maanake hata gari inaweza isiwe nzuri tena!
Inakuwa expensive na kurudi kama awali sio rahisi.Fundi akiwa mzuri overall ni bora zaidi, gari inarudi na nguvu ya awali na vifaa atakavyoweza vikiwa bora anaweza kaa hata 4 yrs kazi yake ni kubadili oil tu
Ndio mpk awe nzuri Sasa.Fundi akiwa mzuri overall ni bora zaidi, gari inarudi na nguvu ya awali na vifaa atakavyoweza vikiwa bora anaweza kaa hata 4 yrs kazi yake ni kubadili oil tu
ππ Yes engine inahitaji fundi aliyetuliza akili, fundi mwehu anakuharibia gariNdio mpk awe nzuri Sasa.
Gari yangu ya awali nilishawahi kufanya overhaul, baada ya hapo nikitunishiana msuli na kina subaru wakati awali hata IST zikinivimbia.Inakuwa expensive na kurudi kama awali sio rahisi.
Habari za muda huu wakuu,aisee jana gari yangu ilichemsha so nmefanya overhall,shida inakuja kweny spare zake nmetafuta mbeya nzima nmeambulia kimoja tu(ring piston)
Nahitaji vfutavyo
Ring piston
Water pump
T/chain
Thermostat
T washer
Overhall gasket
Main and con bearing
Kama una connection na sehem wanauza msaada maana nko safari
Gari:TOYOTA VOLTZ
Umepatwa na nini mpaka vitu vyote hivyo vinaharibika at once?
Gari ilichemsha so, na pia mwanzo ilikuwa ina ka mlio flan hv,kula oil,
Duh pole aiseeee