Msaada: Ada ya diploma vyuo vya Serikali

Feiaidan

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
237
Reaction score
129
Wandugu naomba kwa anayefahamu ada ya mwaka kwa Diploma ya Ualimu kwenye vyuo vya serikali anifahamishe.
Asanteni.
 
kama unasoma masomo ya arts ada ni lak 4, science lak 6 kwa mwaka. ni hivo tu
 
CBE Ada ni Milion na kitu hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…