ada ni milion nne point seven mkuu....chuo mzumbe university.mkuu umejieleza bila kujitosheleza jazia basi tujue wapi pa kusaidiana.kwa mfano
ada sh......
au pesa ya fomu sh....? pengine tukakupa mdhamini pia.
Sio rahisi kutapeli mkuu,document za kujiunga na chuo zipo au mwenye heri anaweza kunisaidia kwa kulipa moja kwa moja chuon.Ukiwa unaomba msaada jipange..........
hiyo Ada ni sh ngapi.......?.......na nini kitatushawishi tukuchangie na tusikuone tapeli..........?...........
Ada kiasi gani?