mwalisa jr
Member
- Aug 18, 2015
- 50
- 18
Ingependeza zaidi kama ungesema "Mtoto wetu" na "mke wangu" unless huna ndoa nae. All in all, mwambie huyo "mama" akapate ushauri wa daktarimtoto ana miezi tisa na mama ni mjamzito tena, je nifanyaje
Nenda kwa daktari atakupa A to Z epuka utalaam wa kidaktari kuupokea kijiweni au bar maana juzi kuna li mtu linaniambia eti balimi inaongeza nguvu za kiume.naombeni msaada ndugu zanguni
ndio ndugu mimi ndiye muhusikaww ndio mwenye mtoto?
alizaa kwa njia ya kawaida tuMiez tisa mingi na inatosha kabisa kuzaa vyema bila shida wala mtt mdogo kudhurika wanawake wengine huikuta na mimba mtt akiwa na miez 3 tu,,,,,
ila tu kama alizaa kwa "operation" hili n tatizo kubwa zaidi kwa mama kuliko unavyodhani
barikiwa ndugu yangu nimekuelewaNenda kwa daktari atakupa A to Z epuka utalaam wa kidaktari kuupokea kijiweni au bar maana juzi kuna li mtu linaniambia eti balimi inaongeza nguvu za kiume.
shukrani nduguIngependeza zaidi kama ungesema "Mtoto wetu" na "mke wangu" unless huna ndoa nae. All in all, mwambie huyo "mama" akapate ushauri wa daktari
Hakuna shida yoyote mkuu ,,nenda hata kwa madaktari ama nesi wa mambo ya uzaz atakuambia hamna shida kabisa ..ref. Watt wa diamondal
alizaa kwa njia ya kawaida tu