Pole sana ndugu.pole mkuu mm mwenyewe nilikua na tatizo kama lakwako nilifanyiwa surgery mwez May nkapona kbsa ila ss nimeanzwa na tatizo la tumbo kama lako nimefanya vipimo vyote kama ulivyofanyiwa wiki ilopita pale kcmc moshi ila wakasema vipimo havijaonyesha tatizo yaan npo normal wakanipa tu dawa za maumivu (tramadol mg 500) ila kiukwel naumwa sana tumbo
sawa mkuu shukraniMtu wangu wa karibu alifanyiwa operation ya tumbo mwaka juzi,mwaka huu alipata maumivu makali sana hayasikii dawa,alikutwa na isue wanaita wenyewe adhesion ,ikabidi afanyiwe tena operation ya emergency kurekebisha as walisema inamuweka kwenye risk ya kupata more complications like utumbo kujifunga etc,pole mkuu cheki na daktari tofauti uone anakupa option gani