ProBook
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 559
- 264
Heshima kwenu wakuu
Katika pita pita zangu internet nimekutana na page ya chinese goverment sponsorship for internatinal students na nlikuwa nataka kuapply lakini katika process ya application wakaniuliza my agency number kwa Tanzania ila sikuwa nayo na kuipata nadhani ni mpaka niende kwenye embassy yao huku Tanzania;
Mimi nipo mikoani huku siwezi kuja hadi huko for the mean time kwa hiyo nlikuwa naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu hii agency number naomba anisaidie na pia kama unajua kuhusu process kamili za application ya hii sponsorship naomba mnijuilishe pia,
Thanx in advance
Link ni hii hapa
http://laihua.csc.edu.cn/inscholarship/jsp/student/StudentLogin.jsp