Natumaini mu wazima wa afya wana Jf,
Jamani nilikuwa naomba msaada wa agency number ya ubalozi wa china nchini Tanzania kwani nafanya application ya scholaship kwa online sasa siwezi kuendelea kama sitaweka agency number.Najua humu wapo wat mbalimbali ambao wanaweza kunisaidia kufanikisha lengo.Nitashukuru kwa msaada wenu.