Elfu 100,000 ndo shingapi hiyo?.Bei yake mara ya mwisho ilikuwa laki na 30 ila sasa ivi zimeshuka bei.nasikia mpaka kwenye elfu 100,000 unaweza pata.zinapatikana kariakoo kwenye maduka ya umeme karibu na soko kuu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120] nilikosea ila nimesharekebishaElfu 100,000 ndo shingapi hiyo?.
Kumbe kuna aina ya hela nyingine na hatuambiani
Asante kwa feedback nzuri angekuwa mwingine angepinga.