Jamani tutibiwa hadi lini? nimejiunga kwenye bundle ya airtel ya sh. 600 kwa siku lakini ndani ya masaa 12 wamenikatia huduma wakati hata sikusurf!!! Duh! sasa nauliza siku maana yake ni masaa mangapi kwa airtel?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.