Msaada: Airtel kwenu siku ni saa 12 au 24?

kajansi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
485
Reaction score
222
Jamani tutibiwa hadi lini? nimejiunga kwenye bundle ya airtel ya sh. 600 kwa siku lakini ndani ya masaa 12 wamenikatia huduma wakati hata sikusurf!!! Duh! sasa nauliza siku maana yake ni masaa mangapi kwa airtel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…