AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Niandike kwa mkono au nitype?Omba kote
Andika kwa mkonoNiandike kwa mkono au nitype?
Kumbe ndivyo inavyotakiwa? Naandika kwa mkono nascan natuma.Andika kwa mkono
Usiandije kwa mkono mkuu , typeKumbe ndivyo inavyotakiwa? Naandika kwa mkono nascan natuma.
Huwezi kuomba nafasi zaidi ya moja kwenye taasisi moja, mfumo utakutema wakati wa kuitwa usaili, hvy Chagua moja tuu hapo.Kwenye tangazo la kazi Serikalini, kuna nafasi 3 katika shirika moja, Marketing, customer service, sales, business development
Kote huko nina vigezo vya kuomba, je ninaweza kuomba zote? Na nikiomba zote, ninaweza kutokea kwenye interview zote?
Na je barua ya maombi IANDIKWE KWA MKONO AU I-TYPIWE NDIO NIPRINT NISIGN ALAFU NI SCAN? IPI NDIO INAYOPENDEKEZWA.?