Msaada: ajira portal

Unabonyeza hiko kiboksi itatick automatically
 
Au log in kwenye simu afu jaribu kutick kwa kukibonyeza
 
Nimemalizia lakini inagoma



Sikumbuki Kama niliwahi kugusa
Huenda uliwahi kukigusa, hata Mimi ilinitokea Mara ya kwanza nilikua kila nikiweka kitiki hakiji ikabidi niwapigie simu wao ndio wakanielekeza kua hiko kitiki kinapigwa Mara moja tu na ukishapiga hautorudia Tena.
 
Wadau inakuaje kwenye sehem ya kujaza taarifa za chuo na kuweka attachements mbona kwangu haziwe active na niki search mwaka wangu niliosoma chuo naambiwa no data???
 
Wadau inakuaje kwenye sehem ya kujaza taarifa za chuo na kuweka attachements mbona kwangu haziwe active na niki search mwaka wangu niliosoma chuo naambiwa no data???
Hapo ukienda stationary unakua ushaliwa 5,000/- alafu issue ndogo,
 
Kwa wale wenye kujua msaada na ajira portal kwenye hiki kipengele cha declaration.

Kwangu hiki kiboksi cha ku tick kinaonekana kama jinsi picha ionekanavyo,swali langu ni kwamba hapo ni tayari imeshatick au bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…