Msaada: Alergy ya pombe

Singa Singa

Member
Joined
Dec 12, 2014
Posts
47
Reaction score
46
Habari zenu wakuu.

Ki afya siko vizuri kabisa toka juzi nilizidisha kilevi nikaenda kulala nimeamka jana kila nikipiga hatua miguu inauma hatari kwenye maeneo ya mapaja ndio usiseme hatua 5 sitembei na kwenye Taya (Mdomo) ndio usiseme.

Kuna Dispensary nimeenda nesi akaniambia ni Aleji ya Pombe.

Nimechoka
 
Peleleza njia ulizopita baada ya kulewa utakuwa uliharibu ukapigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…