brobiz
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 619
- 838
waungwana,kama heading inavyojieleza ni mdogo wangu alichaguliwa kujiunga kidato cha tano lakini aliugua kwa mda mrefu sasa amepona ila anataka kusoma computer science tafadhal kwa anayekijua hicho chuo anipatie details hapa especially fees,masomo yanaanza rasmi lini pia ubora wa chuo kwa ujumla NAWASILISHA