tuanzie hapa.Jirani yangu anaomba msaada kuhusu binti yake mwenye umri wa miaka 13. Anasema alivunja ungo October mwaka jana, akaendelea kama kawaida mpaka January 5 tena akaona siku kama kawaida. Baada ya hapo haoni tena mpaka sasa hivi napoandika hapa. Keshampima mimba hana na sasa hiyo hali inasababisha binti anamwuliza maswali mara kwa mara kwa nini haoni siku zake. Jamani Dr. na wanaJf mpeni msaada je hii ni hali ya kawaida au?
Hospital bado hajampeleka ila yeye anadai alimpima mimba tu, na hakuwa na mimba. so akaone aulizie je hali kama hii huwa inatokea au ni nini?tuanzie hapa.
kwani umekwisha mpeleka hospitali na ukaonana na madaktari wa wanawake na wakakwambia nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atulize mzuka,
Weye ulipoziona za kwako ziliendelea vyema? Atakapo ziona mbona atakuja omba msaada hapa hapa kuwa hazikomi?? Wanawake mbona huwa hamkui?? Mambo madogo tu ka haya mnashindwa kuwafunda binti zenyu??
Ni hivi; Mnusishe shati la kakake/babake kwenye makwapa mara kwa mara. Huu sio uchawi bali ndicho humsaidia mama kupata siku kwa wakati. Sio dawa wala hirizi. Harufu ya kwapa la mwanamume ni dawa tosha kwa mwanamke kupata siku regular. Jaribu uone uje kutupa mrejesho hapa
mmmmh ASANTE KWA ushauri nitamwambiaAtulize mzuka,
Weye ulipoziona za kwako ziliendelea vyema? Atakapo ziona mbona atakuja omba msaada hapa hapa kuwa hazikomi?? Wanawake mbona huwa hamkui?? Mambo madogo tu ka haya mnashindwa kuwafunda binti zenyu??
Ni hivi; Mnusishe shati la kakake/babake kwenye makwapa mara kwa mara. Huu sio uchawi bali ndicho humsaidia mama kupata siku kwa wakati. Sio dawa wala hirizi. Harufu ya kwapa la mwanamume ni dawa tosha kwa mwanamke kupata siku regular. Jaribu uone uje kutupa mrejesho hapa
inaweza kuwa ni tatizo la homoni lakini ni vema aanzie hospitali tena sio vidispensariHospital bado hajampeleka ila yeye anadai alimpima mimba tu, na hakuwa na mimba. so akaone aulizie je hali kama hii huwa inatokea au ni nini?
Duuuh hii njia nomaaaAtulize mzuka,
Weye ulipoziona za kwako ziliendelea vyema? Atakapo ziona mbona atakuja omba msaada hapa hapa kuwa hazikomi?? Wanawake mbona huwa hamkui?? Mambo madogo tu ka haya mnashindwa kuwafunda binti zenyu??
Ni hivi; Mnusishe shati la kakake/babake kwenye makwapa mara kwa mara. Huu sio uchawi bali ndicho humsaidia mama kupata siku kwa wakati. Sio dawa wala hirizi. Harufu ya kwapa la mwanamume ni dawa tosha kwa mwanamke kupata siku regular. Jaribu uone uje kutupa mrejesho hapa
Duh [emoji4][emoji4]AsanteeeAtulize mzuka,

mmmmh ASANTE KWA ushauri nitamwambia
Mangatara shule bila adaAtulize mzuka,
Weye ulipoziona za kwako ziliendelea vyema? Atakapo ziona mbona atakuja omba msaada hapa hapa kuwa hazikomi?? Wanawake mbona huwa hamkui?? Mambo madogo tu ka haya mnashindwa kuwafunda binti zenyu??
Ni hivi; Mnusishe shati la kakake/babake kwenye makwapa mara kwa mara. Huu sio uchawi bali ndicho humsaidia mama kupata siku kwa wakati. Sio dawa wala hirizi. Harufu ya kwapa la mwanamume ni dawa tosha kwa mwanamke kupata siku regular. Jaribu uone uje kutupa mrejesho hapa
Duuuh hii njia nomaaa
Thanks for your advice mkuu.Ni Hali ya kawaida hasa kwa hivi Vitoto vya Mwendokasi
Mpeleke Hospitali sio kwa Wachina maana wale ni Wahuni sana.
Hospital zipo dawa za ku regulate hiyo hali ambayo Mara nyingi ni tatizo la hormones au la kisaikolojia
Atapelekwa mkuu maana mtoto anauliza ni kwanini na anapata mawazo sana.Ni Hali ya kawaida hasa kwa hivi Vitoto vya Mwendokasi
Mpeleke Hospitali sio kwa Wachina maana wale ni Wahuni sana.
Hospital zipo dawa za ku regulate hiyo hali ambayo Mara nyingi ni tatizo la hormones au la kisaikolojia
Wala asiwaze sana hyo hyo ni kawaida na hutokea sana, hvyo kikubwa ampeleke hospital atapata ushauribau hata matibabuHospital bado hajampeleka ila yeye anadai alimpima mimba tu, na hakuwa na mimba. so akaone aulizie je hali kama hii huwa inatokea au ni nini?