Asante kwa ushauri ndugu .Hiyo ni kawaida kwa wasichana wadogo wanapoanza kuona siku zao..Tena inaweza kufika hata miezi 6 bila kuona siku zake. Ni hali ya kawaida kabisa na utokea kwa wasichana wengi..ila kwa uhakika zaidi anaweza kwenda kwa Dr.
Yupo shule anasoma darasa la saba na wanabanwa sana na masomo na anaishi boarding. Asante kwa ushauri nitafatilia.Ni kawaida sana
Miaka 13 mdogo sana bado
Huwa inastua then inaacha, akifika angalau miaka 14 15 itaanza rasmi.
Akipita miaka 16 hajapata siku zake hapo ndipo aanze kuonesha wasiwasi
Pia aangalie mazingira anayoishi yakoje, anamsongo wa mawazo? Tatizo la hofu, wasiwasi? Chakula je anachokula? Kwa ujumla mtindo wake wa maisha ukoje?
Hayo maswali ayafuatilie ndo yatamtatulia tatizo kama litakuwa ni tatizo kweli.
Tupo tofauti, kuna wengine inaanza wakiwa na miaka 11 na inaendelea kutoka bila matatizo.Ni kawaida sana
Miaka 13 mdogo sana bado
Huwa inastua then inaacha, akifika angalau miaka 14 15 itaanza rasmi.
Akipita miaka 16 hajapata siku zake hapo ndipo aanze kuonesha wasiwasi
Pia aangalie mazingira anayoishi yakoje, anamsongo wa mawazo? Tatizo la hofu, wasiwasi? Chakula je anachokula? Kwa ujumla mtindo wake wa maisha ukoje?
Hayo maswali ayafuatilie ndo yatamtatulia tatizo kama litakuwa ni tatizo kweli.
Huyo anavyojua kuweka vitu ovyo ovyo atakuwa kesha zipoteza mwambie atafute kwa makini ataziona tuJirani yangu anaomba msaada kuhusu binti yake mwenye umri wa miaka 13. Anasema alivunja ungo October mwaka jana, akaendelea kama kawaida mpaka January 5 tena akaona siku kama kawaida. Baada ya hapo haoni tena mpaka sasa hivi napoandika hapa. Keshampima mimba hana na sasa hiyo hali inasababisha binti anamwuliza maswali mara kwa mara kwanini haoni siku zake.
Jamani Dr. na wanaJF mpeni msaada, je hii ni hali ya kawaida au?
Tena kumbe yupo boarding. Basi chakula na psychology ya akili ndo inaweza ikawa sababu, na kama wanakula maharagwe kila siku, maharagwe huchangia mtu kukosa hedhi japo hutegemea na jinsi mtu alivyoYupo shule anasoma darasa la saba na wanabanwa sana na masomo na anaishi boarding. Asante kwa ushauri nitafatilia.