MOONFISH
Senior Member
- Jul 30, 2022
- 135
- 268
Habari wakuu,
Nimeona matangazo mengi sana kuhusu simu za mkopo nilikuwa nina mpango wa kumchukulia mtu aweze kutumia.
Sasa swali langu kama kuna mtu yoyote alishawahii kuchukua na akawa analipa mdogo mdogo anipe ABC, simu nayotaka ni samsung A04e.
Mfano ukachelewesha malipo siku mbili inakuwaje, ubora wake uko kama simu za kawaida?