mwalimu HASSAN TWAHA
Member
- Aug 2, 2019
- 5
- 3
Habari wakuu naomba msaada kwa aliyewahi kuitwa Interview ya written au oral katika nafasi hizi:
1. Admission Officer II (NACTVET)
2. Editor II (TIE)
3. Quality Assurance Officer II (NACTVET)
Naomba msaada wa TIPS za interview kuhusu hizo nafasi.
1. Admission Officer II (NACTVET)
2. Editor II (TIE)
3. Quality Assurance Officer II (NACTVET)
Naomba msaada wa TIPS za interview kuhusu hizo nafasi.