No_Worries
Member
- Sep 27, 2016
- 69
- 23
Wakuu salamu!
Naomba msaada wa wapi nitapata amendments za public service act,2002. Public service act yenyewe ya 2002 inapatikana mtandaoni ila amendments zilizofanyika miaka iliyofuatia ndiyo issue kuzijua na kwa kuzipata. Kama unajua mtririko wa amendments tafadhali nisaidie kuzitaja hapa na kama unazo hizo amendments tafadhali naomba unisaidie. Mimi ni bush lawyer sina fedha ya ku-hire wakili kwa sasa.
Ama nikienda pale kwa mpiga chapa wa serikali (Dar) nitapata full package ya hiyo public service act 2002?
Natanguliza shukrani
No-Worries.